Sauti Sol
Transposer

Kuliko Jana


Sauti Sol


Pasted GraphicPasted Graphic 1Pasted Graphic 2Pasted Graphic 3

Song : E
Intro :
F C G Am
F
Bwana ni mwokozi wangu,
C
Tena ni kiongozi wangu,
G Am
ananipenda leo kuliko jana
F
Baraka zake hazikwishi,
C
si kama binadamu habadiliki,
G Am
ananipenda leo kuliko jana,

F C
kuliko jana kuliko jana
G
yesu nipende,
Am
leo kuliko jana
F C
kuliko jana kuliko jana
G
yesu nipende,
Am
leo kuliko jana

F C
nakuomba mungu, uwasamehe,
G Am
wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
F C
na maadui wangu, nawaombea,
G Am
maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki,
F C
ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana,
G Am
walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,
F C
ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana,
G
walimsulubisha yesu masiah,
Am
bila kusita

F
Wewe ndio natengemea,
C
kufa kupona baba nakutengemea,
G
Chochote kitanikazia,
Am
kuingia mbinguni utaniondolea x4

F
na bwana ni mwokozi wangu amen
C
na tena ni mkombozi wangu, amen
G Am
eeh ananipenda leo kuliko jana, amen
F
Baraka zake hazikwishi, amen
C
Si kama binadamu habadiliki, amen
G Am
Ananipenda, leo kuliko jana, amen
F C
kuliko jana kuliko jana
G
yesu nipende,
Am
leo kuliko jana
F C
kuliko jana kuliko jana
G
yesu nipende,
Am
leo kuliko jana

Transposer